JAVIER HERNÁNDEZ ‘CHICHARITO’ ATUA LEVERKUSEN
Javier Hernandez
‘Chicharito’ sasa yupo mbioni kumaliza Miaka yake Mitano na Manchester
United kwa kuhamia Klabu ya Germany Bayer Leverkusen kwa Dau
linalokadiriwa kuwa Pauni Milioni 8.75.
Msimu uliopita Chicharito
alikuwa huko Real Madrid kwa Mkopo na Msimu huu kurudi tena Old Trafford
lakini amekuwa hana namba na kununuliwa kwa Anthony Martial kutoka AS
Monaco ndiko kunamwondoa.
No comments:
Post a Comment