Pages

Tuesday, September 1, 2015

ADNAN JANUZAJ ATUA BORUSSIA DORTMUND KWA MKOPO

Adnan Januzaj poses with a Borussia Dortmund shirt after completing his move to Germany 

Winga wa Manchester United Adnan Januzaj yupo katika mazungumzo ya mwisho na Borussia Dortmund ili kukamilisha Uhamisho wa Mkopo wa Mwaka mmoja.
Chini ya Meneja Louis Van Gaal, Januzaj amekuwa si chaguo la Meneja huyo na sasa ameamua kwenda Bundesliga kwa Mkopo ilia apate namba, Huko anategemea kupata nafasi kucheza karibu kila mechi.

No comments:

Post a Comment