Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, September 26, 2015

FIFA yaanika siri za Jerome Valcke

 
Waendesha mashitaka wa Uswisi wamethibitisha kwamba shirikisho la soka duniani, FIFA ,limekubali kuweka wazi akaunti ya barua pepe mali ya Jerome Valcke ambaye ni katibu Mkuu wa FIFA .
Alifukuzwa wiki iliyopita kufuatia madai kwamba alihusika katika mpango wa kuuza tiketi za Kombe la Dunia kwa thamani ya juu.
Wanasheria wa Valcke wamekanusha madai ya mteja wao kuhusika katika tukio hilo.
Maafisa wa Uswisi wameanzisha uchunguzi wa rushwa sambamba na Idara moja ya Haki ya Marekani, ambayo ina washitaki maafisa kumi wa soka kwa tuhuma za rushwa. Jerome Valkce ni kiongozi wa juu kabisa wa FIFA anayetuhumiwa kwa rushw

No comments:

Post a Comment