Kwenye Kundi G, FC Porto, ikiwa kwao Ureno Estadio do Dragao Jijini Porto, iliicharaza Timu ya Mreno mwenzao Jose Mourinho, Chelsea, Bao 2-1.
Bao za Mechi hii zilifungwa na Andre Andre kwa FC Porto katika Dakika ya 39 na Chelsea kusawazisha Dakika ya 45 kwa Frikiki ya Willian.
Kichwa cha Maicon katika Dakika ya 52 kiliwapa FC Porto ushindi wa Bao 2-1.
Katika Mechi nyingine ya Kundi hili la Chelsea, Dinamo Zagreb ilitamba Ugenini baada ya kuichapa Maccabi Tel Aviv 2-0.2-1
PORTO WANAONGOZA SASA 2-1WILLIAN ALIPOISAWAZISHIA CHELSEA 1-1FC Porto v Chelsea VIKOSI:
No comments:
Post a Comment