Bosi Louis van Gaal akiwapa mbinu wachezaji wake leo wakati wa mazoezi wakiwa wamevalia jezi mpya kutoka Kampuni ya Adidas. Man United wanajiandaa na msimu mpya wa 2015/2016 ambapo mechi yao ya kwanza watakutana na Tottenham Hotspurs.
Memphis Depay kwenye mazoezi akikabwa na Daley Blind
Wachezaji wapya Matteo Darmian na Morgan Schneiderlin wakiwa kwenye Uwanja wa Mazoezi wa Carrington leo jumatano mchana.
Bastian Schweinsteiger
Nahodha Wayne Rooney kuongoza mashambulizi msimu ujao
Van Gaal na Depay
Viajan chipukizi Andreas Pereira na Guillermo Varela nao wanajipanga kuuona msimu mpya wa 2015-16 Juan Mata, Rooney, Young na Tyler Blackett
Makipa Sergio Romerto na De Gea
Rooney, Antonio Valencia wakiwa tayari kwa msimu mpya dhidi ya Tottenham
No comments:
Post a Comment