Zipo ripoti kuwa Man United itatoa Pauni Milioni 80 kumnasa Straika wa Bayern Munich Thomas Muller pamoja na Winga wa Southampton Sadio Mane. Inaaminika
Bayern haitakubali kumuachia Muller ingawa Mchezaji huyo anataka
kuhamia Old Trafford na njia pekee kulazimisha Uhamisho ni Mchezaji huyo
kuomba rasmi kuhama huku Dau likiwa ni Pauni Milioni 60. Nae, Mane, Mchezaji kutoka Senegal mwenye Miaka 23, atatolewa Dau la Pauni Milioni 20 ambazo Southampton ndizo wanazotaka.
No comments:
Post a Comment