Pages

Saturday, August 29, 2015

MAKUNDI UEFA CHAMPIONS LEAGUE YAMEPANGWA, MAN UNITED, CHELSEA MWENDO MDUNDO, MAN CITY KUJIULIZA TENA!

DROO ya kupanga Makundi ya UEFA CHAMPIONS LIGI imefanyika hii leo huko Monaco na imezua Makundi ambayo yataleta Mechi safi kwa Washabiki.
Tafrija ya Droo hiyo iliongozwa na Katibu Mkuu wa UEFA Gianni Infantino na wakiwepo Mastaa wa zamani wa Soka waliowahi kutwaa Ubingwa wa Ulaya kina Peter Schmeichel, Kipa wa Manchester United, Andres Iniesta, Andoni Zubizaretta, Javier Zanetti na Paolo Maldini.
Mechi za Makundi zitaanza kuchezwa Septemba 15 na kumalizika Desemba 9.

No comments:

Post a Comment