UHAMISHO: MANCHESTER CITY YAMSAJILI FABIAN DELPH
Kepteni wa Aston Villa Fabian Delph
anatarajiwa Leo hii kkupimwa Afya yake ili akamilishe Uhamisho wa
kwenda Manchester City. Delph, mwenye Miaka 25 na aliejiunga na Villa
Mwaka 2009 kutoka Leeds United, alijifunga Villa kwa Mkataba mpya Mwezi
Januari tu lakini sasa amefuata maslahi bora kwa Matajiri City.
No comments:
Post a Comment