BANZA STONE AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki
wa muziki wa dansi aliyepata kushika chati za juu katika utunzi na
uimbaji katika bendi mbalimbali za muziki wa Dansi, Ramadhani
Masanja 'Banza Stone' amefariki dunia hii leo mchana nyumbani kwao
Sinza Kijiweni Dar es Salaam.
Post a Comment