WEST HAM UNITED WAMSAJILI DIMITRI PAYET KWA £10.7MILLIONI, ASAINI MKATABA WA MIAKA 5.
West Ham leo Ijumaa wamemsajili Payet kwa kitita cha £10.7m na hapa akiwa anapimwa Afya Akisaini mkataba wa miaka 5 leo hii Ijumaa West Ham tayari wanae Winga ambaye walikuwa wanamfukuzia siku nyingi Dimitri Payet kutoka Klabu ya Marseille ya Ufaransa.
No comments:
Post a Comment