Pages

Tuesday, June 23, 2015

SIMBA WAZINDUA WEBSITE YAO MPYA

  

KAJURA (KULIA) AKIMSAIDIA AVEVA KUZINDUA MTANDAO MPYA WA KLABU YA SIMBA.
Klabu ya Simba, leo zimezindua tovuti yake ambayo itakuwa ikieleza mambo mbalimbali ya klabu hiyo.

Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Rais wa Simba, Evans Aveva, makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, viongozi wa kamati ya utendaji pamoja na bosi wa Kampuni ya EAG, Imani Kajura.
EAG ndiyo itakayosimamia uendeshaji wa mtandao huo wa Simba.




 
Kwa hisani ya Salehe Jembe blog

No comments:

Post a Comment