Pages

Tuesday, June 23, 2015

MART NOOIJ AWAAGA WATANZANIA, MALINZI AMTANGAZA MRITHI WAKE



Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akiongea na waandishi wa habari leo
Baadhi ya waandishi wakimsikiliza rais wa TFF, Jamali Malinzi wakati akmtangaza kocha mpya wa Taifa stars
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi leo amemtangaza kocha Charles Boniface Mkwasa kurithi mikoba ya aliyekuwa kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij baada ya kutimuliwa.

Akizungumza na wandishi leo Malinzi aliishukuru Yanga kwa kukubali Mkwasa kuwa kocha wa Taifa stars wakati huo huo akiendelea na kazi yake huko Yanga.

No comments:

Post a Comment