Pages

Saturday, June 20, 2015

RED CARD YA NEYMAR KUIWEKA BRAZIL NJIA PANDA COPA AMERICA, AFUNGIWA MECHI 4 NA FAINI YA DOLA $10,000

Mchezaji Matata wa Brazil na anayekipiga katika klabu ya Barcelona amefungiwa mechi nne na FAINI YA DOLA $10,000  Kutoka na Utovu wa Nidhamu na kuiweka Nchi yake kwenye hali Ngumu kutokana na Kundi lao kuwa Gumu baada ya Timu zote katika Grupu hilo kuwa sawa Timu zote  zimefungana kwa pointi 3 kila moja kwenye michezo ya Copa America. Hivyo Hatma ya Brazil kuendelea au kufungasha Virago kurudi Nyumbani ni jumapili watakapo kwaana na timu Tata ya Venezuela.Neymar sasa Kuangalizia Copa kwenye Tv baada ya kuoneshwa kadi nyekundu na kuambulia kufungiwa mechi 4 na Faini juu ya Dola $10,000.
Mshambuliaji huyo wa Barcelona mwenye umri wa miaka 23 alionyeshwa kadi nyekundu kea kuzozana na wachezaji wa Colombia kufuatia kipigo cha bao bao 1-0 walichopata Brazil katika mchezo wao wa makundi. Nyota huyo tayari anatumikia adhabu ya kutocheza mechi moja hivyo kumfanya kutokuwepo katika mchezo wa mwisho wa makundi dhidi ya Venezuela utakaochezwa baadae leo. Lakini Shirikisho la Soka la Amerika Kusini sasa limepitia tukio hilo na kuongeza adhabu kwa nyota huyo. Mchezaji wa Colombia Carlos Bacca ambaye pia alipewa kadi nyekundu katika tukio hilo naye amepewa adhabu ya kutocheza mechi mbili huku wachezaji wote wakipewa nafasi ya kukata rufani kama hawakuridhika na adhabu.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:

Post a Comment