Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, June 1, 2015

BAGAMOYO KUSHUHUDIA MASUMBI

Na Mwandishi Wetu

MJINI wa Bagamoyo unatarajia kuona pambano kali wa masumbwi utakaowakutanisha Mfaume Mfaume wa Manzese pamoja na Adam Ngange wa Chanika utafanyika katika ukumbi wa TASUBA, June 14 ambapo watasindikizwa na mipambano mingine mikali siku hiyo

Bondia Iddi Pialali  atapambana na Sweet Kalulu wakati Raymond Mbwago atapambana na Haridi Hongo na Ramadhani Sebe atakabiliana na Said Kassim mpambano mwingine utakuwa ni kati ya bondia Abdalla Pazi' Mfalme wa wazalamu' atakae pambana na Haridi Van Dame' wa Kawe

Pia kutakuwepo na burudani za muziki wa kizazi kipya ambapo msanii Jumanne Iddi na Sam wa ukweli watapamba mchezo huo wa masumbwi

No comments:

Post a Comment