
Wakiwa kwenye basi la wazi kutembeza kombe la FA kwenye mitaa, Ni Kombe lao kutwaa kwa mara ya 12

Mashabiki walijitokeza kwa wingi wakati Palade hiyo ya Kombe la FA walilotwaa jana baada ya kuifunga Aston Villa bao 4-0.

Jack W. na Theo Walcott

Shabiki akiwachungulia wenzake Gunners!

Per Mertesacker na Olivier Giroud

Mzee Wenger akionesha Mwali wake wa 12!

Wachezaji wa Arsenal wakiwa kwenye Jengo la Islington Town Hall

Kwenye Picha ya pamoja

Thanks to you Our 12th MAN

Jack na Danny Welbeck

Zamu yetu sasa!

Flamini akiwa na Mwali wa FA Cup

Shangwe za Ubingwa 2015!

Nje ya Uwanja wa Emirates

Post a Comment