VIWANGO VYA UBORA DUNIANI:TANZANIA YAPOROMOKA IPO NAFASI YA 107
Wenyeji wa AFCON 2015, Equatorial Guinea, wamepaa Nafasi 69 na kukamata Nafasi ya 49 pamoja na Congo.
Listi ya Ubora Duniani inayofuata itatolewa Machi 12.
10 BORA:
1. Germany
2. Argentina
3. Colombia
4. Belgium
5. Netherlands
6. Brazil
7. Portugal
8. France
9. Uruguay
10. Spain
No comments:
Post a Comment