Romelu Lukaku akishangilia moja ya bao lake dhidi ya Timu ya Young Boys huko Switzerland
Ross Barkley akichuana na Lukaku mbapo Likaku aliifungia bao kwa Kichwa Everton.
Mashabiki wa Timu ya Young Boys wakiwashangilia wenzao wakati Timu zinaingia Uwanjani.
Kocha wa Everton Martinez kaiongoza Timu yake kwenda hatua inayofuata Raundi ya 16
No comments:
Post a Comment