Inadaiwa Bartomeu na Klabu ya Barca ilikwepa kulipa Kodi ya Pauni Milioni 2.1 inayohusu Uhamisho wa Neymar.
Rais Bartomeu ametakiwa kutinga Mahakamani Februari 13 kwa Jaji ambae pia anasikiliza Kesi inayomhusu Rais wa zamani wa Barca, Sandro Rosell, anaedaiwa kutakatisha Fedha zinazohusu Uhamisho huo huo wa Neymar.
No comments:
Post a Comment