2-1 Steven Gerrard aliongeza bao la pili
kipindi cha pili dakika ya 53, Bao hilo halikuweza kudumu sana Spurs
dakika ya 61 M. Dembélé alisawazisha bao hilo na kufanya 2-2
Steven Gerrard akishangilia bao lake la pili kwa Liverpool
Mashabiki wa Spurs wakimpongeza Harry Kane baada ya kusawazisha bao kipindi cha kwanza dakika ya 26
1-1 Hadi mapumziko
Harry Kane dakika ya 26 kipindi cha kwanza hicho hicho aliisawazishia bao Spurs na kufanya 1-1 dhidi ya Wenyeji Liverpool.
Lazar Markovic akishangilia bao lake.
Akipongezwa!!!
Lazar
Markovic dakika ya 15 kipindi cha kwanza alitangulia kuziona nyavu za
Spurs na kuwapatia bao Liverpool katika kipindi cha kwanza.
1-0
VIKOSI:
Liverpool: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Markovic, Henderson, Gerrard, Moreno, Ibe, Coutinho, Sturridge.
Liverpool Akiba: Johnson, Lovren, Lambert, Lallana, Allen, Balotelli, Ward.
Tottenham Hotspur: Lloris, Walker, Dier, Vertonghen, Rose, Bentaleb, Mason, Lamela, Eriksen, Dembele, Kane.
Spurs Akiba: Paulinho, Soldado, Vorm, Townsend, Fazio, Chadli, Davies.
Mwamuzi: Phil Dowd
Sturridge kuanza kwa Liverpool

No comments:
Post a Comment