Pages

Wednesday, January 14, 2015

WEST HAM UNITED YAFUZU RAUNDI YA NNE YA FA CUP BAADA YA KUIFUNGA EVERTON PENATI 9-8

Kipa wa West Ham United Adrian akishangilia mara baada ya kuifunga Everton mkwaju wa 9 na kuipeleka West ham hatua inayofuata ya Raundi ya nne kwenye Ligi ya FA Cup. Kipa waEverton alikosa mkwaju wake wa penati kwa kugonga posti ya goli na kisha Adrian kumfunga kipa huyo na kufanya timu yake kuibuka kidedeaa kwa mikwaju 9-8 dhidi ya Everton waliokuwa pungufu 10 Uwanjani.Roberto Martinez (left) and Sam Allardyce speak before the game after the Hammers boss accused his counterpart of not being flexibleMakocha: Roberto Martinez na Sam Allardyce  wakitambiana mara baada ya mtanange kuishaDakika ya 113 Cole aliyeingia Punde aliisawazishia bao west Ham united na kufanya 2-2 baada ya kupigwa kona na kuchezwa hapa na pale na Kisha Cole kuumalizia nyavuni mwa Everton. Mtanange ulizidi kuendelea kwa kasi kila Timu ikiliandama lango la mwenzake na dakika 30 za nyongeza zilimalizika kwa sare tena ya 2-2. Mikwaju ya penati ilifuata..Dakika ya 97 Romelu Lukaku aliipa bao la pili Everton na kufanya 2-1 dhidi ya West ham United.
Dakika 90 zilimalizika 0-0 na mtanange kuongezwa dakika 30.
Dakika ya 82 Kevin Mirallas aliipachikia bao Everton na kusawazisha bao hilo kwa kufanya 1-1 baada ya kuachia shuti kali la mpira wa adhabu (Frii kiki) na kuweza kuisawazishia bao Everton.Kevin Mirallas akisawazisha bao
Huku Everton wakiwa wanacheza pungufu Uwanjani wakiwa 10 baada ya mwenzao Aiden McGeady kuoneshwa kadi nyekundu katika dakika ya 55 kipindi cha pili.
Enner Valencia aliipachikia bao dakika ya 51 kipindi cha pili baada ya kwenda nguvu sawa kipindi cha kwanza.
Mchezaji wa West Ham United  Valencia akiifungia bao timu yake kipindi cha pili
Valencia akishangilia bao lake dhidi ya  Everton

No comments:

Post a Comment