Pages

Monday, January 26, 2015

REAL MADRID WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAO MPYA LUCAS SILVA LEO JUMATATU MCHANA.

Lucas Silva akitabasamu wakaati wa kutambulishwa leo mchana
Silva kuvaa jezi namba 16
Silva ametambulishwa leo Jumatatu mchana na hapa akionesha mambo yake.
Mapaparazi wakichukua picha za Silva
Ugeni kwenye Uwanja wa Bernabeu
Vipimo vilienda poa vya Silva  kwenye Hospital ya Sanitas La Moraleja
Mambo poa!! Silva akijipongeza baada ya mambo kwenda poa!!

No comments:

Post a Comment