Pages

Friday, January 23, 2015

FA CUP YAINGIA RAUNDI YA NNE KUANZIA LEO MANCHESTER UNITED vs CAMBRIDGE UNITED.

RAUNDI YA 4 ya FA CUP, Kombe kongwe kupita yote Duniani, itaanza kuchezwa Ijumaa kwa Mechi pekee kati ya Cambridge United, inayocheza Ligi 2 ikiwa Nafasi ya 12, dhidi ya Manchester United kwenye Uwanja wa Abbey uliopo Mjini Cambridge unaopakia Mashabiki 8,000.
Cambridge ndio Timu pekee ya Daraja la chini kabisa iliyobakia kwenye Raundi ya 4 ya FA CUP lakini huko nyuma wameshawahi kutinga Robo Fainali ya FA CUP mara mbili katika Miaka ya 1990 na 1991.
Kipa mpya wa Man United Victor Valdes langoni ijumaa.Mtanange kupigwa ijumaa  hii usiku saa 22:55 Cambridge United v Manchester UnitedMashabaiki wakiwa na Tiketi zao tayari kuuona mtanange huo pekee unaopigwa  hii Ijumaa usiku huko kwao na Timu ya Cambridge United.Karibuni!FA CUP kuunguruma kesho  usiku kati ya Cambridge United v Manchester United

No comments:

Post a Comment