Pages

Friday, January 23, 2015

REAL MADRID YAMSAJILI MARTIN ODEGAARD KWA KITITA CHA £2.3million

The Norwegian sensation answered only in Norwegian during his press conference on ThursdayMartin OdegaardMartin Odegaard from Norway holds his new Real Madrid shirt during a press conference  
Miamba wa soka wa Hispania klabu ya Real Madrid imefika makubaliano ya kumsajili mshambuliaji kinda Martin Odegaard toka Stromsgodset. Odegaard mwenye umri wa miaka 16 atatambulishwa mbele ya waandisha wa habari leo, Real Madrid haijaeleza imetoa kiasi gani cha fedha ili kupata saini ya kinda huyo lakini tetesi zinaonesha wenda Real wakawa wametoa £2.3million. 
japo vyombo vya habari vya Hispania vinasema wametumia kiasi cha euro milioni 3 kuweza kumpata mshambuliaji huyo. Kinda huyo alieanza kuichezea timu ya Norway, akiwa na miaka 15 amekuwa akiwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa barani ulaya.
Odegaard poses with Sergio Ramos (left) and Cristiano Ronaldo after signing on Thursday
Odegaard akiwa pamoja na Sergio Ramos na Cristiano Ronaldo
Odegaard akijibu swaliOdegaard akiwasili  kwenye chumba tayari kuonana na Waandishi wa Habari.

No comments:

Post a Comment