Pages

Tuesday, January 6, 2015

FA CUP: RAUNDI YA NNE, MAN UNITED YAPANGWA UGENINI NA KIBONDE! ARSENAL KUWAKABA KOO BRIGHTON AU HOVE ALBION, CHELSEA NA CITY KUANZA NYUMBANI

www.bukobasports.com
DROO ya kupanga Mechi za Raundi ya 4 ya FA CUP imefanyika Usiku huu na Cambridge United, ambayo ndio ipo Daraja la chini kabisa, watakuwa Wenyeji wa Manchester United.
Cambridge United, ambao waliwahi kufika Robo Fainali ya FA CUP mara mbili Miaka ya 1990 na 1991, wapo Nafasi ya 14 katika Ligi la Daraja la chini, Ligi 2.
Mabingwa Watetezi, Arsenal, watakuwa Ugenini kucheza na Brighton & Hove Albion ambayo ipo Daraja la chini ya Ligi Kuu England, Championship.


"Mechi za Raundi ya 4 zitachezwa Januari 24 na 25.

No comments:

Post a Comment