Pages

Tuesday, January 6, 2015

FA CUP: AFC WIMBLEDON 1 vs 2 LIVERPOOL, STEVEN GERRARD AIPA USHINDI LIVERPOOL, KUKUTANA USO KWA USO NA BOLTON WONDERERS RAUNDI YA 4


Steven Gerrard akiwafungia bao la pili Liverpool kwa frii kii na kuipa ushindi wa bao 2-1 dhidi ya AFC Wimbledon na kusonga mbele hatua ya raundi ya nne ya Kombe hilo la FA Cup 2015. Kukutana na Bolton Wonderers mchezo ujao wakianzia kwao Anfield.
Katika Mechi nyingine ya Raundi ya 3 ya FA CUP iliyochezwa mapema usiku huu, Burnley, ikicheza Nyumbani, ilitoka Sare ya 1-1 na Tottenham Hotspurs.
Timu hizi zitarudiana huko White Hart Lane baadae na Mshindi ataingia Raundi ya 4 na kucheza na Leicester City.

Mchezaji wa AFC Wimbledon Adebayo Akinfenwa akishangilia na wenzake baada ya kusawazisha bao kwa kufanya 1-1 dakika ya 36 kipindi cha kwanza.Steven Gerrard akishangilia bao lakeSteven Gerrard ndie kawafungia bao la kichwa Liverpool na kuwatanguliza bao 1-0 dhidi ya Wenyeji AFC Wimbledon.Steven Gerrard akiendesha mashambulizi.

No comments:

Post a Comment