Pages

Monday, January 26, 2015

FA CUP: BRIGHTON & HOVE ALBION 2 vs 3 ARSENAL

Bao la tatu la Arsenal lilifungwa na Tomas Rosicky dakika ya 59 huku bao za Brighton zikifungwa zote mbili kipindi cha pili na Sam Baldock dakika ya 75 na la kwanza ni Chris O'Grady dakika ya 50. Mtanange Umemalizika kwa 3-2 Arsenal wakiibuka na Ushindi.Walcott dakika ya 2 aliipachikia bao la mapema na kufanya 1-0. Baadae dakika 24 Arsenal waliongeza bao na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya wenyeji Brighton. Bao likifungwa na Mesut Özil.

No comments:

Post a Comment