Pages

Saturday, January 10, 2015

DALEY BLIND NA MARCOS ROJO WA MAN UNITED WAJUMUIKA KWENYE MAZOEZI LEO HII KUJIANDAA NA SOUTHAMPTON OLD TRAFFORD KESHO

Kipa mpya wa Man United kajumuika na Kikosi cha United leo kwenye MazoeziKipa wote watatu(3) wa Man United wakiepewa darasa na Kocha wao maalum kwa Kazi hiyo ya Ukipa
Kipa Mpya Victor Valdes Kipa Victor Valdes kwenye mazoezi murua leo Juan Mata, Robin Van Persie na Kipa wao mpya Victor ValdesKwenye mazoezi leo, Man United wanajiandaa na kipute cha cha Ligi kuu England kuwakaribisha Southampton.Hii Ndio Klabu niliyokuwa naitamani kujiunga nayo...Ni kipa Victor Valdes akipasha leo huku akijiona katimiza ndoto zake za kisoka kuidakia Klabu kubwa Kama Man United.
Leo Manchester United wamejifua kwenye Uwanja wa Mazoezi wa  Aon Training Complex leo Ijumaa.

Daley Blind amefanya mazoezi na hapa akiwa na Dogo Andreas Pereira

Difenda wa Manchester United  Marcos Rojo nae kapona na leo kafanya mazoezi vyema

Valdes katikati na  Luke Shaw akiwa pamoja na BlindJumapili ni Mtanange wa Nguvu Man United na Southampton

Michael Carrick, Victor Valdes, Anderson, Juan Mata na  Ander Herrera kwenye mazoezi leo hii Ijumaa, tayari kukutana uso kwa Uso na Southampton Jumapili.

Lindegaard, Radamel Falcao, Tyler Blackett, Carrick, James Wilson, Darren Fletcher, Shaw, Blind, Pamoja na Timu Kepteni  Wayne Rooney wakikimbia leo kwenye mazoezi

De Gea kwenye mazoezi leo hii.

Valdes kupambana kupata namba akiwa sambamba na Kipa namba moja David de Gea

 Rooney na Carrick

Falcao na Antonio Valencia (kulia) leo Ijumaa wakifanya mazoezi

Valencia, De Gea, Rafael, Angel di Maria, Chris Smalling na Marcos Rojo kwenye Mazoezi

Kocha wa Man United Louis van Gaal sakiteta jambo leo na Vijana Kazi wake leo kwenye mazoezi

Van Gaal

Wabelgiam hawa wamekutana Adnan Januzajna  Marouane Fellaini wakipeana mchakato leo kwenye mazoezi.

Herrera nae amejumuika kwenye mazoezi leo

 Herrera, Blackett, Pereira, Shaw pamoja na  Blind

Blind, Paddy McNair, Robin van Persie, Phil Jones pamoja na Jonny Evans

Juan Mata na  Angel di Maria

Ashley Young ndie anaonekana kubaki kwenye majeruhi baada ya kuumia mwishoni wakati wa mechi na  Stoke City kwenye siku ya Mwaka mpya 2015.

No comments:

Post a Comment