Pages

Thursday, December 18, 2014

TOTTENHAM HOTSPUR YAIFUNGA NEWCASTLE UNITED MABAO 4-0.


Mchezaji wa Tottenham Nabil Bentaleb akishangilia bao baada ya makosa yaliyofanywa na Jak Alnwick na kuitanguliza timu kwa bao 1-0 usiku huu.
Nacer Chadli aliifungia bao mbili Spurs wakiinyuka bila huruma Newcastle na mtanange kumalizika kwa bao 4-0.

Robo Fainali iliyochezwa pia Usiku huu huko White Hart Lane, Tottenham waliitandika Newcastle Bao 4-0 kwa Bao za Bentaleb, Chadli, Kane na Soldado.

Christian Eriksenakichuana vikali na mchezaji wa Newcastle Jack Colback

Straika Harry Kane akikabwa na wa wachezaji wawili Emmanuel Riviere na Moussa Sissoko (kulia) usiku huu wakati wa mchezo wa robo fainali

Kipa wa Newcastle Alnwick aliruka juu lakini mpira ulimzidi ujanja

Bao!!! kipa hakuona ndani mpira ulimzidi nguvu

Patashika zikiendelea ndani ya lango la Newcastle na kupata bao lingine la haraka

Bentaleb (katikati) akishangilia...bao lake

No comments:

Post a Comment