Pages

Thursday, December 18, 2014

LIVERPOOL YAZINDUKA NA KUTINGA NUSU FAINALI BAADA YA KUIFUNGA AFC BOURNEMOUTH 3-1


Liverpool, wakicheza Ugenini kwa Vinara wa Timu ya Daraja la chini la ChampionshipBournemouth, walishinda Bao 3-1 kwa Bao 2 za Raheem Sterling na moja la Lazar Markovic wakati Wenyeji hao walipata Bao lao pekee kupitia Dan Gosling.
umanne Usiku, kwenye Robo Fainali za awali, Chelsea na Sheffield United zilishinda Mechi zao kwa Chelsea kuichapa Derby County 4-1 na Sheffield kuifunga Southampton 1-0.
AFC Bournemouth 1 vs 3 Liverpool

No comments:

Post a Comment