Pages

Tuesday, December 30, 2014

LIVERPOOL YAPANDA NAFASI YA NANE BAADA YA KUIFUNGA SWANSEA CITY MABAO 4-1

Liverpool waliongeza bao la tatu tena na kufanya 3-1 dhidi ya Swansea katika dakika ya 61 kupitia kwa Adam Lallana tena kwa ushirikiano mzuri wa pasi wa Coutinho. Dakika ya 69 Jonjo Shelvey alijifunga bao na kuwapa zawadi ya bao la nne Liverpool na kuondoa wasiwasi wa kurudi magoli baada ya kupata goli 4-1.Baadae dakika ya 52 Swansea walifanya mashambulizi na kupata matumaini kwa kurudisha bao ndani ya dakika moja na kufunga bao lao la kwanza kupitia kwa Gylfi Sigurdsson dakika ya 52 na mtanange kubadilika kuwa wa kasi zaidi ya baada ya kupata bao huku wakionekana kutawala zaidi Uwanja huo wa Anfield tangu kipindi cha kwanza. Dakika ya 51 Adam Lallana aliifungia bao la pili na kufanya 2-0 baada ya kipa wao Fabianski kufanya makosa langoni mwake kwa kupiga mpira kwa kumlenga Lallana na mpira kuukingia langoni mwake. Alberto aliifungia bao dakika ya 33 kipindi cha kwanza baada ya kuwachomoka mabeki wa Swansea na kupewa pasi na Jordan Henderson na kisha kufunga bao hilo.Alberto akishangilia bao lake
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU ZA JUU!
Barclays Premier League
POSLOGO &TEAMPWDLGDPTS
1ChelseaChelsea1914412746
2Manchester CityManchester City1913422443
3Manchester UnitedManchester United1910631436
4SouthamptonSouthampton1910361733
5ArsenalArsenal199641133
6West Ham UnitedWest Ham United19946731
7Tottenham HotspurTottenham Hotspur19946031
8LiverpoolLiverpool19847128
VIKOSI"
Liverpool: Mignolet, Sakho, Skrtel, Can, Manquillo, Henderson, Lucas, Moreno, Coutinho, Sterling, Lallana.
Akiba: Toure, Gerrard, Lambert, Borini, Balotelli, Markovic, Ward.
Swansea: Fabianski, Richards, Fernandez, Williams, Taylor, Britton, Shelvey, Dyer, Sigurdsson, Routledge, Bony.
Akiba: Ki, Emnes, Carroll, Gomis, Rangel, Tremmel, Bartley.
Mwamuzi: Andre Marriner
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA LIVERPOOL WAKO NAFASI YA 10.View image on TwitterUwanjani Anfield

No comments:

Post a Comment