Pages

Saturday, December 27, 2014

WEST BROM 1 vs 3 MANCHESTER CITY, FERNANDO, YAYA TOURE NA DAVID SILVA WAIPA USHINDI CITY UGENINI.


Manchester City walianza kupata bao a mapema dakika ya 8 kupitia kwa Fernando Dakika ya 13 Yaya Touré aliifungia bao la mkwaju wa penati na dakika ya 34, David Silva aliongeza bao la tatu na kufanya 3-0.Bao la pekee la West Bromwich Albion lilifungwa dakika za lala salama na Brown Ideye dakika ya 87.Yaya Toure akifunga bao kwa mkwaju wa penatiTaswira kamili.Bao la pekee la West Brom na kufanya 3-1 na mtanange kumalizika.

No comments:

Post a Comment