Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, October 5, 2014

MANCHESTER UNITED YAIFUNGA EVERTON MABAO 2-1

Bao la pili kwa Man United limefungwa na Radamel Falcao katika kipindi cha pili dakika ya 62 baada ya kupata pasi kutoka kwa Angel Di Maria. Bao la Everton lilifungwa na Steven Naismith katika dakika ya 55 na pia Everton walikosa mkwaju wa penati kipindi cha kwanza mwishoni Baines penati yake ilipanguliwa nje na kipa wa United De Gea na kwenda mapumziko wakiwa nyuma ya bao 1-0.Wachezaji wa Man United Mata na Di Maria wakipongezana baada ya Di Maria kufunga bao dakika 27  ya kipindi cha kwanza dhidi ya Everton.Mtanange ukiendelea kipindi cha kwanza..Romelu Lukaku kanza kwa upande wa EvertonVan Persie ndie Kepteni
Falcao akishuka kwenye basi kuelekea Old Trafford
Meneja wa Manchester United  Louis van Gaal  akiwa na msaidizi wake  Ryan Giggs(kulia).
VIKOSI:
MANCHESTER UNITED 11:
De Gea, Rafael, Shaw, Rojo, Blind, McNair, Mata, Valencia, Falcao, Van Persie, Di Maria.
Akiba: Lindegaard, Thorpe, Blackett, Fletcher, Fellaini, Januzaj, Wilson.
EVERTON 11: Howard, Hibbert, Jagielka, Stones, Baines, Barry, Besic, Pienaar, McGeady, Naismith, Lukaku.
Akiba: Joel, Gibson, Eto'o, Oviedo, Osman, Browning, Alcaraz.

Kocha wa zamani wa Man United Sir Alex Ferguson leo kwenye Uwanja Old Trafford wakati wa utambulisho
Sir Alex Ferguson  akiwa kwenye picha na Ji Sung Park - Balozi aliyetambulishwa leo kabla ya mtanange na Everton

No comments:

Post a Comment