Dakika ya 77 Karim Benzema aliifungia bao la pili Real na kufanya 2-1 baada ya kupata Krosi safi kutoka kwa Marcelo.
Dakika ya 11 C. Ronaldo anakosa penati.....penati inaondolewa na kipa wa Ludogorets V. Stoyanov.
Dakika ya 25 Cristiano Ronaldo alisawazisha bao kwa mkwaju wa penati baada ya kukosa penati ya kwanza.
No comments:
Post a Comment