Pages

Tuesday, September 9, 2014

Alexis Sanchez avuliwa ufalme wa kasi ndani ya Arsenal


Huyu ndiye mchezaji mwenye kasi zaidi katika klabu ya Arsenal kwasasa.
Arsenal imepata rasmi mchezaji mpya mfalme wa kasi na si tena Alexis Sanchez aliyesajili kwa pauni milioni £35.
Theo Walcott aliyekuwa na kasi zaidi msimu uliopita alizidiwa na mlinzi wa pembeni kijana Hector Bellerin kabla ya kusajiliwa kwa Chuba Akpom.
Badala yake nyota huyo kijana mwenye umri wa miaka 18 Chuba Akpom sasa amepata taji la mkimbiaji mwenye kasi zaidi ambaye ana uwezo wa kukimbia mita 10 kwa kutumia muda wa sekunde 1.56 akiwa mazoezini.

No comments:

Post a Comment