ZDRAVKO LOGARUSIC AMTIMULIWA SIMBA
Loga anatuhumiwa kuzozana na wachezaji mara baada ya mechi akiwatuhumu kuonyesha kiwango duni.
Uongozi wa Simba umechukua uamuzi huo baada ya kikao cha takribani masaa matano.
Tayari Simba imeanza kufanya maarifa ya kumpata kocha mpya. Hizo ndiyo Simba na Yanga kila kukikucha majanga matupu.
Post a Comment