Pages

Saturday, August 30, 2014

TOM CLEVERLY KUELEKEA ASTON VILLA WAKATI KAGAWA AKIREJEA BORUSSIA DORTMUND


Tom Cleverley huenda akaondoka kuelekea Aston Villa kabla ya siku ya mwisho ya mwisho ya dirisha la usajili
Tom Cleverley amekutana na bosi msaidizi wa Aston Villa Roy Keane kujadili uwezekano wa kujiunga na klabu hiyo.
Wakati Shinji Kagawa akisafiri kuelekea Ujerumani ijumaa hii mchana kumalizia kurejea kwake Borussia Dortmund kwa ada ya pauni milioni £8, kwa upande wake Cleverley, klabu ya Villa imetenga kiasi cha pauni milioni £7 ambaye pia anawavutia Everton, Hull na Valencia na tayari ameelekea Birmingham. 
Mchezaji wa zamani Old Trafford Keane amepiga hatua mbele kujaribu kupata huduma ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 kwa kutaka kumpatia nafasi katika kikosi cha kwanza huko Midlands.
Having a chat: Cleverley has met with Villa assistant Roy Keane (right, next to manager Paul Lambert)
Cleverley amekutana na meneja msaidizi wa Villa Roy Keane (kulia, pembeni yake ni meneja Paul Lambert)
German engineering: The Japan international was a huge hit during his time with the Bundesliga club 

No comments:

Post a Comment