Pages

Saturday, August 30, 2014

XABI ALONSO ASAJILIWA NA BAYERN MUNICH

MABINGWA wa Bundesliga Bayern Munich wamethibitisha kumsaini Kiungo wa Real Madrid Xabi Alonso kwa Dau linalokisiwa kuwa Euro Milioni 10.
Alonso, mwenye Miaka 32, sasa ataichezea Bayern hadi Mwaka 2016 baada ya kusaini Mkataba wa Miaki Miwili.
Jumatano, Alonso alitangaza kustaafu kuichezea Timu ya Taifa ya Spain.

Kiungo huyo mahiri amekuwa na Mabingwa wa Ulaya Real Madrid kwa Miaka Mitano sasa baada ya kujiunga hapo kutoka Liverppol.
Pengine Alonso ameikimbia Real baada ya Klabu hiyo kuwanunua Viungo Toni Kroos kutoka Bayern na James
Real inatarajiwa kumsaini Kiungo wa Brazil Luiz Gustavo ambae aliwahi kuwa Mchezaji wa Bayern ambae sasa yupo Wolfsburg ili kuziba pengo la Alonso. 

BUNDESLIGA
RATIBA:

Ijumaa Agosti 29

FC Augsburg BV vs Borussia Dortmund

Jumamosi Agosti 30
Bayer 04 Leverkusen vs Hertha Berlin
Hamburger SV v SC Paderborn 07
VfB Stuttgart v FC Köln
SV Werder Bremen v TSG Hoffenheim
Wolfsburg v Eintracht Frankfurt
Schalke 04 v Bayern Munich
Jumapili Agosti 31
FSV Mainz 05 v Hannover 96
SC Freiburg v Borussia Mönchengladbach

No comments:

Post a Comment