Pages

Friday, August 29, 2014

CHEKI ZAWADI AMBAYO RAIS JK ALIMPA LUIS FIGO

 

RAIS Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago mchezaji veterani wa timu ya Real Madrid ya Hispania, Luis Figo wakati wa hafla ya chakula cha jioni aliyowaandalia wachezaji wa timu hiyo na timu ya maveterani ya Taifa Stars Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya mechi ya kirafiki ambapo Real Madrid illifungaTaifa Stars 3-1 katika Uwanja wa Taifa.

No comments:

Post a Comment