Pages

Saturday, August 23, 2014

MISS TEMEKE 2014 APATIKANA USIKU HUU TCC CLUB CHANG'OMBE, NI SITTI MTEMVU


Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu. Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment