COMMUNITY SHIELD: ARSENAL 3 vs 0 MANCHESTER CITY...WEMBLEY
Santi Cazzorla ndie aliyeanza kuwafungulia lango Arsenal katika dakika ya 22 kipindi cha kwanza baada ya kulishwa mpira na Jack Wilshere na kufunga bao la kwanza na kufanya 1-0 dhidi ya City.
Bao la pili lilifungwa na Aaron Ramsey katika dakika ya 42 baada ya Mabeki wa Manchester City kufanya Uzembe wa Ukabaji na hatimae Aaron Ramsey kufunga bao hilo akipewa pasi na Yaya Sanogo.
Post a Comment