Pages

Wednesday, August 27, 2014

CAPITAL ONE CUP: MK DONS 4 vs 0 MANCHESTER UNITED, WILLIUM GRIGG, BENIK AFOBE WAICHAKAZA VIBAYA UNITED!!

Grigg's delight continues...Muuaji..WILLIUM GRIGG akishangilia bao zake mbili kwa mpigo!!MK Dons players celebrate their first goal in front of Manchester United'sMbele ya Mashabiki...wao wakipongezana.MK Dons English midfielder Dean Bowditch heads the ball clearMK Dons wakiendesha soka..Reece James of Manchester United in action James wwa United akipanga amtoke vipi George wa MK DonsMK Dons Northern Irish striker Will Grigg vies with Manchester United's Northern Irish defender Jonny Evans William Grigg akwaendesha wenzake wa Mashetani wekundu!!Jonny Evans of Manchester United shows his frustrationJonny Evans kwenye Mshangao wa hatarii..MK Dons v Manchester United Capital One CupKocha Msaidizi Ryan Giggs akijionea Vijana wake wakinyolewa..MK Dons v Manchester United Capital One CupMeneja Van Gaal nae akiwa kakaa hana cha Mshangao wala nini!!MK Dons v Manchester United Capital One CupPatashika...Chicharito akichomoka...Benik Afobe scoring the third goal for the home sideAfobe akimaliza ubishi!!!Benik Afobe celebrates scoring the third goal for MK DonsKama Ba vile.....3-0Louis van Gaal of Manchester United watches from the touchlineSina neno....Louis van Gaal of Manchester United despairs with assistant Ryan Giggs Kwa Viongozi wa United salaaam za magoli ziliwachoma Benik Afobe scoring the fourth goal for MK DonsAfobe tenaaa...Benik Afobe celebrates scoring the fourth goal for MK DonsAfobe na wenzie wakishangilia...Ryan Giggs looks dejected with manager Louis van Gaal Giggs machozi...!David Martin of Milton Keynes Dons is congratulated by chairman Pete Winkleman Kwa wenzao ni full kupongezana...David Martin akipongezwa na Mwenyekiti Pete W.Dakika ya 84 Benik Afobe aliifunga bao la nne United.
Dakika ya 63 Mchezaji yule yule Dons William aliwachoma United bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Man United na alifunga bao hilo kwa kichwa baada ya kupata krosi safi kama kona kutoka kwa Ben Reeves.
Benik Afobe aliyeingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya William Grigg dakika ya 68 nae dakika ya 70 aliwafunga United bao lake baada ya kulishwa mpira na Danny Green.
Chicharito kwenye patashika..  Mchezajiwa MK Dons William Grigg akishangilia bao lakemapema kipindi cha kwanza dakika ya 25 ambalo Evans kafanya makosa.
William Grigg aliipachikia bao la kwanza MK Dons kipindi cha kwanza dakika ya 25 na kuweka 1-0 dhidi ya United baada ya makosa kutokea ya Evans wa United  kutoa pasi kwa adui na ndipo Ben Reeves kutoa pasi kwa William na Grigg kufunga bao hilo.

Kwenye Uwanja wa Nyumbani mk, Milton Keynes, Buckinghamshire mtanange ukiongozwa na Refa
S. Attwell


No comments:

Post a Comment