Pages

Monday, July 28, 2014

Lionel Messi bado ana kula raha za mapumziko yake marefu akiwa na mpenzi wake Antonella Roccuzzo


Lionel Messi hakuwa na tabasamu baada ya mchezo wa fainali ya kombe la dunia lakini kwasasa anafanya hivyo.
Nyota huyo wa kimataifa wa Argentina ametupia picha mtandaoni akiwa na mpenzi wake Antonella Roccuzzo, ambapo wapenzi hao walivinjari katika kisiwa cha maraha cha Capri kilichoko nchini Italia.
Roccuzzo alikuwepo nchini Brazil akifurahia kwa pamoja tuzo ya mchezaji bora wa fainali za kombe la dunia 'Golden Ball' pamoja na kwamba kikosi cha Argentina kilipoteza katika fainali dhidi ya Ujerumani. 
Embrace: Lionel Messi (left) and girlfriend Antonella Roccuzzo (right) on holiday on Italian island of Capri
Lionel Messi (kushoto) na mpenzi wake Antonella Roccuzzo (kulia) wakati wa mapumziko yao kisiwania Capri nchini Italia.
Family selfie: Messi (left) with Roccuzzo (right) and their son Thiago (centre) take a photo on holiday
Picha ya selfie: Messi (kushoto) akiwa na Roccuzzo (kulia) na mtoto wao wa kiume Thiago (katikati)
Picture perfect: Messi was pictured shopping at Dolce & Gabbana with his girlfriend Antonella Roccuzzo
Pozi safi: Messi akiwa katika shopping duka la Dolce & Gabbana pamoja na Antonella Roccuzzo

Lionel Messi does a spot of late night shopping with girlfriend Antonella Roccuzzo
Messi bado hajaungana na kikosi cha Barcelona kilichoko katika maandalizi ya msimu mpya ambapo watacheza mchezo dhidi ya Nice ya Ufaransa Agosti 8.

No comments:

Post a Comment