Pages

Monday, July 28, 2014

HATIMAYE MOURINHO AMSAINISHA DIDER DROGBA RASMI KWA MARA YA PILI DARAJANI.

Didier Drogba amekamilisha ndoto yake ya kurejea Chelsea.
Nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ivory Coast amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao utamfaya kuwa Mkongwe wa darajani baada ya kusajiliwa kwa mara ya kwanza na Jose Mourinho kwa ada ya pauni milioni £24 mwaka 2004.
Drogba ametanabaisha kuwa hatamuangusha Jose Mourinho ambaye ameamua kuungana naye kwa mara ya pili.
Amesema
 'Yamekuwa ni maamuzi rahisi - si rahisi kuikataa fursa hii ya kufanya kazi na Jose kwa mara nyingine.  Kila mmoja anajua mahusiano yangu na klabu hii na imekuwa siku zote ni kama nyumbani.
Dotted line: The Ivorian striker completes his medical and puts pen to paper on a new one-year deal
Akianguka mwaka mmoja: Mshambuliaji wa Ivory Coast amekamilisha vipimo vya afya na kutia saini mkataba wa mwaka mmoja.
Signed: Didier Drogba has signed a one-year deal withChelsea
Return: Didier Drogba returns to west London after spells in China and Turkey
'Nia yangu YA kushinda iko pale pale na naangalia mbele juu ya fursa hii kuisaidia timu yangu, na nafurahia ukurasa huu mpya katika kazi yangu.'

New boy: Drogba returns to Chelsea after two years away from west London
Kijana mpya: Drogba anarejea Chelsea baada ya miaka miwili akiwa nje ya London ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment