Pages

Tuesday, July 22, 2014

Jose Mourinho kumrudisha Didier Drogba kama kocha mchezaji 'Stamford Bridge idol'


Mourinho (kushto) alimpeleka Drogba Chelsea mwaka 2004 akitokea Marseille, anaonekana bado ana matumaini naye.
Kuna uwezekano wa ndoto ya Didier Drogba kurejea Chelsea wiki hii ikawa kweli.
Mazungumzo yamekuwa yakiendelea juu ya mkataba wa mwaka mmoja baina ya kocha Mourinho na Drogba mwenye umri wa miaka 36 ambaye atakuwa akifanya kazi kama 'kocha-mchezaji' wakati huo huo akionekana kama 'Stamford Bridge idol'.
Imeelezwa kuwa tayari Drogba ameshaanza kupenyeza taarifa kwa washikaji zake kuwa anarejea Chelsea kama kocha mchezaj.

Elsewhere: The 36-year-old has interest from clubs in Qatar while Juventus continue to flirt with the idea
Mshambuliaji Drogba mwenye umri wa miaka 36 anaotajwa kuwa anatakiwa na vilabu kutoka nchini Qatar wakati huu ambapo Juventus pia wakiwa na mpango kama huo


Return? Drogba was Chelsea's hero in the 2012 Champions League final win over Bayern Munich
Je anarejea kweli? Drogba aliibuka shujaa wa Chelsea katika fainali ya Champions League 2012 ambapo alifunga bao muhimu la ushindi dhidi Bayern Munich.

No comments:

Post a Comment