Mourinho (kushto) alimpeleka Drogba Chelsea mwaka 2004 akitokea Marseille, anaonekana bado ana matumaini naye. |
Mazungumzo
yamekuwa yakiendelea juu ya mkataba wa mwaka mmoja baina ya kocha
Mourinho na Drogba mwenye umri wa miaka 36 ambaye atakuwa akifanya kazi
kama 'kocha-mchezaji' wakati huo huo akionekana kama 'Stamford Bridge
idol'.
Imeelezwa kuwa tayari Drogba ameshaanza kupenyeza taarifa kwa washikaji zake kuwa anarejea Chelsea kama kocha mchezaj.
Mshambuliaji
Drogba mwenye umri wa miaka 36 anaotajwa kuwa anatakiwa na vilabu
kutoka nchini Qatar wakati huu ambapo Juventus pia wakiwa na mpango kama
huo
No comments:
Post a Comment