Pages

Tuesday, July 22, 2014

Mart Hummels kujiunga na Manchester United wiki hii

Mats Hummels anaelekea kujiunga na  Manchester United wiki hii akitokea katika klabu ya Borussia Dortmund kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni £16 kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Hispania.
Vilabu hivyo viwili vinaendelea na mazungumzo kuelekea kukamilisha mpango huo lakini Old Trafford wana uhakika wa kung'oa nanga hiyo ya mlinzi huyo kitasa.
Akiwa na umri wa miaka 25 alionyesha kiwango cha juu katika fainali za kombe la dunia nchini Brazil, na amekuwa akimvuatia meneja Louis van Gaal

Huo utakuwa ni usajili mkubwa kwa mabingwa hao mara 20 wa Ulaya wakati huu wakiwa katika harakati za kurejesha heshima yao.
Quality: Hummels would be a superb addition to Van Gaal's side
Kiwango: Hummels atakuwa ni ongozeko bora kwa Van Gaal

No comments:

Post a Comment