Pages

Wednesday, April 2, 2014

UEFA CHAMPIONS - FC BARCELONA 1 v ATLETICO MADRID 1, MAMBO YAWA MAGUMU CAMP NOU, MPIRA WAMALIZIKA KWA SARE!


Mchezaji wa Brazil anayekipiga Barca Neymar akiwaweka sawa Barcelona baada ya kusawazisha bao hilo kipindi cha pili na kufanya 1-1 dhidi ya Atletico Madrid kwenye uwanja wa Camp Nou.

Thibaut Courtois akipeana mkono na Lionel Messi

Diego ndie alieanza kuwapachikia bao Atletico na kuwatangulia Barcelona, Na hapa akioma kwa bao hilo

Wachezaji wa Atletico pwakimpongeza Diego baada ya kuwafungia bao kwenye uwanja wa Ugenini Nou Camp.

Gerard Pique ndani ya dakika 10 alikuwa hoi..na alilazimika kutolewa.

Pique kwenye patapata na Costa na kuweza kuumia kwa kuanguka chini kwa kishindo!

Mchezaji wa zamani wa Manchester United nafasi ikachukuliwa na Marc BartraDakika ya 56 Atletico wanapata bao kupitia kwa Diego Ribas baada ya kupewa pasi na Gabi.
Dakika ya 71 kipindi cha pili Barcelina walisawazisha kupitia kwa Neymar baada ya kupata mpira kutoka kwa Andrés Iniesta LujánMessi akiachia mbele ya ukuta wa Atletico MadridLionel Messi akiwekwa katiKikosi kilichoanza cha Atletico Madrid.
Licha ya Barca kutawala Kipindi cha Kwanza, hadi Mapumziko Bao zilikuwa 0-0 na kila Timu ilipata pigo baada kupata Majeruhi kwa Barca kulazimika kumtoa Pique na kumuingiza Bartra na Atletico kumtoa Diego Costa na Ribas Diego kumbadili.
Kipindi cha Pili, Atletico walitangulia kufunga katika Dakika ya 57 kwa Bao la Ribas Diego na Neymar kusawazisha katika Dakika ya 71.
Timu hizi zitarudiana huko Estadio Vicente Calderon hapo Jumatano Aprili 9.Mashabiki wa FC Barcelona
VIKOSI:
Barcelona: Pinto, Dani Alves, Pique (Bartra 12), Mascherano, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Fabregas (Alexis 68), Neymar, Messi, Iniesta.
Subs Not Used: Oier, Pedro, Song, Adriano, Sergi Roberto.
Booked: Iniesta, Jordi Alba.
Goals: Neymar 71.
Atletico Madrid: Courtois, Juanfran, Godin, Miranda, Filipe Luis, Turan (Rodriguez 77), Gabi, Tiago, Koke, Villa (Sosa 70), Diego Costa (Diego 29).
Subs Not Used: Aranzubia, Mario Suarez, Alderweireld, Insua.
Booked: Koke, Gabi, Turan, Juanfran, Diego, Sosa.
Goals: Diego 57.
Att: 90,000.
Ref: Felix Brych (Germany).

No comments:

Post a Comment