Pages

Wednesday, April 2, 2014

EPL: SUNDERLAND 1 v WEST HAM 2, CARROLL NA DIAME WAIPATIA USHINDI TIMU YAO WEST HAM UGENINI.


Mchezaji Straika wa West Ham Andy Carroll akipambana na wachezaji kadhaa wa Sunderland

Carroll akishamgilia bao lake huku akikimbizwa na Kevin Nolan pamoja na James Tonkins kwenda kumpongeza pia baada ya kuwapachikia bao mapema dakika ya 9.

Bao za Andy Carroll, Dakika ya 9, na Diame, Dakika ya 50, zimewapa West Ham ushindi wa Bao 2-1 walipocheza Ugenini huko Stadium of Light na Sunderland jana jumatatu usiku.
Bao la Sunderland lilifungwa Dakika ya 65 na Adam Johnson, alietokea Benchi na kuingizwa Kipindi cha Pili.

Carroll dhidi ya Wes Brown wakigombea mpira

Meneja wa West Ham Sam Allardyce akipeana na meneja wa Sunderland Gus Poyet mwishoni mwa mtanange.

Taswira la benchi la West Ham Sam Allardyce na msaidizi wake Neil McDonald kwenye uwanja wa Sunderland Stadium of Light.


LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO
Jumamosi 5 Aprili 2014

14:45 Man City v Southampton
17:00 Aston Villa v Fulham
17:00 Cardiff v Crystal Palace
17:00 Hull City v Swansea City
17:00 Newcastle v Manchester United
17:00 Norwich v West Brom Albion
19:30 Chelsea v Stoke City

Jumapili 6 Aprili 2014
15:30 Everton v Arsenal
18:00 West Ham v Liverpool

Jumatatu 7 Aprili 2014
2200 Tottenham v Sunderland

No comments:

Post a Comment