Diego Costa anaipachikia bao la kwanza Atletico Madrid dakika ya 3 baada ya Koke kutoa pasi safi.
Dakika ya 27 Kaka anaisawazishia bao Ac Milan baada ya kupata mpira kutoka kwa Andrea Poli.
Dakika ya 40 Atletico Madrid wanapata bao la pili na kufanya 2-1 kupia mchezaji wake Arda Turan. Dakika ya mwishoni mwa kipindi cha kwanza dakika ya 45 Mario Balotelli anaadhibiwa kadi ya njano na mwamuzi kutoka England Mark Clattenburg.
Atletico Madrid wanaenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 2-1. Wakiwa na Agg. ya mabao 3-1 zaidi ya Ac Milan kwenye hii raundi ya 16 ya Uefa Champions Ligi.
Kipindi cha pili dakika ya 46 Ac Milan wanafanya mabadiliko Adel Taarabt anatoka nje na nafasi yake inachukuliwa na Robinho.
Dakika ya 71 Atletico Madrid wanapata bao jingine la tatu na
kufanya 3-1(Agg. 4-1) kupitia mchezaji wake Raúl García baada ya kupata pasi kutoka kwa Gabi.
Diego Costa anaipachikia bao la nne na kufanya 4-1(Agg. 5-1) katika dakika za lala salama dakika ya 85 akipewa pasi na José Sosa.
Costa akionesha mavituz......mambo ya Acrobatic!
Costa ndie aliefunga bao kwenye mechi ya kwanza na leo tena!!
Kaka akishangilia baada ya kufunga bao
Kaka na Meneja wa AC Milan Clarence Seedorf wakipongezana.

VIKOSI:
Atletico Madrid: Courtois, Juanfran, Miranda, Godin, Filipe Luis, Turan, Gabi, Mario Suarez, Koke, Raul Garcia, Diego Costa. Subs: Aranzubia, Villa, Rodriguez, Alderweireld, Insua, Sosa, Diego.
AC Milan: Abbiati, Abate, Rami, Bonera, Emanuelson, Essien, Poli, De Jong, Kaka, Taarabt, Balotelli.

Subs: Amelia, De Sciglio, Muntari, Mexes, Robinho, Pazzini, Zaccardo.
Referee: Mark Clattenburg (England)
Referee: Mark Clattenburg (England)
No comments:
Post a Comment