Home
/
Unlabelled
/
MANCHESTER UNITED vs MANCHESTER CITY: DABI YA KUMALIZA MSIMU WA RAUNDI YA PILI, NANI KUIBUKA KIDEDEA USIKU HUU? VAN PERSIE NA AGUERO WAPO NJE KWENYE DABI HII! REFA NI MICHAEL OLIV ER.
MANCHESTER UNITED vs MANCHESTER CITY: DABI YA KUMALIZA MSIMU WA RAUNDI YA PILI, NANI KUIBUKA KIDEDEA USIKU HUU? VAN PERSIE NA AGUERO WAPO NJE KWENYE DABI HII! REFA NI MICHAEL OLIV ER.
City wanatinga kwenye Mechi hii wakiwa wapo kwenye mbio za kusaka Ubingwa, pamoja na Vinara Chelsea, Liverpool na Arsenal, wakati Man United, wakiwa tayari hawana matumaini ya kutetea Ubingwa wao, bado wapo kwenye matumaini hafifu ya kumaliza ndani ya 4 Bora.
Bao hizo mbili zimemfanya Rooney afikishe Jumla ya Bao 212 akiwa na Man United na kushika Nafasi ya 3 katika Ufungaji Bora wa Kihistoria kwenye Klabu hiyo akiwa nyuma ya Denis Law kwa Bao 25 na Mfungaji Bora, Sir Bobby Charlton, kwa Bao 37.
Winger Antonio Valencia (aliyeumia jicho mechi iliyopita na mashaka nae) difenda Nemanja Vidic ana kadi nyekundu na straika Robin van Persie atakuwa nje kwa majeraha ya goti.
KWA MAN CITY:
Vincent Kompany anarudi na wenda akaanza kwenye kikosi cha kwanza cha Manchester City, Old Trafford usiku huu.
Nje ni Sergio Aguero na Matija Nastasic mwenye matatizo ya goti pia.
RATIBA
Jumanne Machi 25
22:45 Arsenal v Swansea
22:45 Man Utd v Man City
22:45 Newcastle v Everton
Jumatano Machi 26
22:45 West Ham v Hull
23:00 Liverpool v Sunderland
Jumamosi Machi 29
15:45 Man Utd v Aston Villa
18:00 Crystal Palace v Chelsea
18:00 Southampton v Newcastle
18:00 Stoke v Hull
18:00 Swansea v Norwich
18:00 West Brom v Cardiff
20:30 Arsenal v Man City
Jumapili Machi 30
15:30 Fulham v Everton
18:00 Liverpool v Tottenham
Jumatatu Machi 31
22:00 Sunderland v West Ham
Post a Comment